MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA KIMATAIAFA WA AFRIKA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI, JIJINI ARUSHA

01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
02.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Dkt. Arame Tall, wakati akiondoka baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR
03
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi wa AICC baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR
04

05
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB