PICHA ZA RAIS OBAMA ALIPOTUA KATIKA ARDHI YA TANZANIA
Rais Barack Obama akikagua majeshi ya ulinzi na usalama.
Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu.

Rais Baraka Obama akicheza ngoma alipokua akipita kwenye moja ya vikundi vya ngoma za asili vilivyokua vikitumbuiza kwa ajli ya ujio wake mara tu aliposhuka kutoka kwenye ndege ya Airforce One
Mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete akitabasamu wakati mgeni wake Rais Barack Obama alipokua akitikisa mwili kwa hisia za ngoma za asili zilizokua zikitumbuizwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wakati wa ujio wake leo akitokea Afrika ya Kusini.
Rais Barack Obama akiangalia moja ya vikundi vya ngoma za asili vilivyokua vikitumbuiza uwanjani hapo.