MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAFANYIKA DODOMA

IMG_0365
Mwenyikiti wa CCM,  Rais Jakaya Kikwete akiteta na
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  kabla ya kufungua mkutano wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Agosti 26,2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0382
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiteta nje
ya ukumbi wa CCM  wa White House mjini Dodoma Agosti 26,2013. Kutoka
kushoto ni Joyce Masunga, Raphael Chegeni na Samuel Sitta. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0388
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiwa
kwenye Kikao chini ya Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete Agosti 26,2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0390
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiwa
kwenye Kikao chini ya Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete Agosti 26,2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB