WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA

IMG_0462Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli (kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0476Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0480Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0491Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia. (picha na Ofisi ya waziri Mkuu)IMG_0511Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetana Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB