AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 37 KWA WASHINDI WA YATOSHA


Kulia ni meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando akimkabidhi  bw Rashid Hamis (kulia) shilingi milioni moja aliyojishia katika droo ya promoshe ya Airtel yatosha wiki hii. Kati wakishudia toka shoto ni  washindi wengine wa milioni moja bw Hamis Athumani  Esia na Bi Magret Kalenge. Hafla fupi ya makabidhiano imefanyika leo katika ofisi kuu ya Airtel dar es salaam



Kulia ni meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando akimkabidhi  bw, Godbless Kweka (kulia) shilingi milioni moja aliyojishia katika droo ya promoshe ya Airtel yatosha wiki hii. Kati wakishudia toka shoto ni washindi wengine wa milioni moja bw Rashid hamis, Bi Magret Kalengea na bw, Hamis Athumani  Esia. Hafla fupi ya makabidhiano imefanyika leo katika ofisi kuu ya Airtel dar es salaam
Kulia ni meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando akimkabidhi  bi, Magret Kaengea (kulia) shilingi milioni moja aliyojishia katika droo ya promoshe ya Airtel yatosha wiki hii. Kati wakishudia toka shoto ni washindi wengine wa milioni moja bw Hamis Athumani  Esia na Rashid Hamis . Hafla fupi ya makabidhiano imefanyika leo katika ofisi kuu ya Airtel dar es salaam



Washindi wa milioni moja wa promosheni ya Airtel Yatosha wakionyesha pesa zao walizopokea kutoka Airtel baada ya kuibuka washindi wa siku wa milioni moja, wakishuhudiwa na meneja uhusisnao wa Airtel Jackson Mmbando (kushoto). Kutoka kulia ni Rashidi Hamis, Magreth Kalengea, Hamis Esia na Godbless Kweka.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB