MHE. LOWASSA AENDESHA HARAMBEE MASASI-MTWARA

Askofu mstaafu akisalimia wauminiAskofu akisalimu waumini Msakofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung’u akisalimu waumini.EDWI0035 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u.lowassa akihutubia 2Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u. 
Rose Mhando akiimbaRose Mhando akiimba Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika kanisani hapo juzi.
EDWI0173Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwaaga waumini wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi baada ya kumaliza kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la dayosisi hiyo, juzi. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa katika harambee hiyo. 

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB