LG ELECTRONICS YAZINDUA VIYOYOZI VYA KUFUKUZA MBU

01-2Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya LG Electronics wa Afrika Mashariki, Moses Marji (kushoto), Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala na Meneja Masoko wa LG, Soyoung Lee, wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo ‘LG Mosquito Away’ jijini Dar es Salaam leo.02-3Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala akihojiwa na waandishi wa habari muda mfupi baada ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.   04-2Baadhi ya watu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuzia mbu vya LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.  Viyoyozi hivyo vinatumia mawimbi ya kielektroniki kufukuza mbu waenezao ugonjwa wa malaria.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB