GWAJIMA AJIPANGA KUNUNUA TRENI



Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema
amedhamiria kununu treni ya umeme  baada ya Rais John Magufuli kuonyesha dhamira
ya kujenga reli  ya kisasa(standard gauge).


Gwajima ameyasema hayo leo katika ibada ya Jumapili  huku akimsifu Rais Magufuli
kwa kuchukua hatua hiyo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB