KAGERA YARUDISHIWA PIONTI TATU



Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amesema Kamati ya
sheria imebaini mapungufu kadhaa katika maamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kwanza
rufaa ya Simba kukatwa nje ya wakati lakini pia haikulipiwa ada ya sh 300000.

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi ya Kamati ya saa 72
kwa kuipa simba pointi tatu na kuzirudisha Kagera Sugar.
Akitangaza uamuzi huo Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amesema Kamati ya
sheria imebaini mapungufu kadhaa katika maamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kwanza
rufaa ya Simba kukatwa nje ya wakati lakini pia haikulipiwa ada ya sh 300000.
Mbali na hivyo Mwesigwa amesema Kamati ya saa 72 ilipokutana iliruhusu watu
wasiokuwa wajumbe wa Kamati kushiriki kufanya uamuzi kitu ambacho ni kosa.
Mbali na uamuzi huo Kamati imeitaka TFF kuwachukulia hatua baadhi ya watendaji
wa bodi kwa kuipotosha Kamati ya saa 72

----Chanzo Mwananchi

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI