DC Kinondoni alia uhaba wa madawati,madarasa, vyoo

DAR ES SALAAM: 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi amesema Shule za
msingi Manispaa ya Kinondoni zinakabiliwa na upungufu wa madawati 19,386, vyumba vya madarasa 2,235 na matundu ya vyoo 6,788, huku akitoa rai kwa mashirika na sekta binafsi kusaidia kutatua kero hiyo.
(Chanzo cha habari Mwananchi)


Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI