Posts

JK Aongoza Kikao Cha Kamati Ya Ulinzi Ya SADC Jijini Dar es Salaam

Image
 Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya uchumi na maendeleo ya Kusini (SADC) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini ili kushiriki kikao cha kamati hiyo.Pembeni ni Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao.  Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto) akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais Wa Namibia Hifikepunye Pohamba, Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini(kulia) na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete( Wanne Kushoto) akiwa na viongozi SADC waliopo katika kamati hiyo.Wengine katika picha ni Rais Wa Afrika ya Kusini Jackob Zuma(Watatu kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(kulia),Rais Mstaafu wa Msumbiji ambaye pia ni msuluhishi wa SADC kwenye mgogoro wa Madagas...

Makamu wa rais Dkt. Bilal azindua jengo jipya la ofisi za kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi (DHL).

Image
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL Blaise D’sauza, wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi (DHL), baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki.       Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi Kulwa (kulia) wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo.     Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa huduma kwa Wateja upande wa uingizaji wa mizigo, Ebtisam Bobsaith (kushoto), wakati alipokuwa akitembelea katika jengo ji...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UCHUMI MJINI KIGALI

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Makampuni yaliyoshiriki katika  Mkutano wa kimataifa wa Uchumi iliofanyika kwenye Hoteli ya Serena Mjini Kigali na kuhutubiwa na Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Fedha na Uchumi wa Rwanda,  John Rwangombwa (katikati) na  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Dkt Enos Bukuku katika mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Mjini Kigali Novemba 5, 2012. (Picha na Ofi ya Waziri MKuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Wairi Mkuu wa Rwanda, Dr. Habumuremyi Pierre Damien kabla ya mazungumzo yao Mjini Kigali Dec 6,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kaizungumza na Wziri Mkuu wa Rwanda, Dr. Hebumuremy Pierre Damien kwenye hoteli ya Serena Mjini Kigali Desemba 6, 2012. (Picha naOfisi ya Wziri Mkuu)

PRESIDENT KIKWETE HOSTS DINNER FOR GAVI FORUM MEETING MEMBERS AT STATE HOUSE

Image
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Former First Lady of South Africa  Mama Graca Machel as the First Lady of Zambia Mama Satta looks on during a dinner he hosted for members of the  5th Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Partners Forum at the State House in Dar es salaam. Others in the picture are Mr. Dagfinn Hoybraten, Chairman of the GAVI Board and Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI. (PHOTO BY STATE HOUSE) President Jakaya Mrisho Kikwete chats to Former First Lady of South Africa  Mama Graca Machel as the First Ladies of Tanzan ia and of Zambia, Mama Salma Kikwete and  Mama Satta looks on during a dinner he hosted for members of the  5th Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Partners Forum at the State House in Dar es salaam. Others in the picture are Mr. Dagfinn Hoybraten, Chairman of the GAVI Board and Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI. A Cross section of guests  during a dinner he hosted By President Jakaya Kikwete...

Malawi's President Banda shakes Cabinet

Image
Malawi President Joyce Banda. Malawi President Joyce Banda has stripped off her Vice-President Hastings Khumbo Kachali the ministerial post of  Health Minister and fired her party Vice-President Cassim Chilumpha from the Cabinet. It is believed that President Banda removed Mr Kachali from Cabinet following his involvement in the snatching of hospital beds from one clinic to another, where he was campaigning for a member of his party to be elected as MP. It is not known why she removed her party Vice-President from the Energy ministerial position. In early September, Mr Kachali ordered the removal of beds from one hospital to the other in his constituency, a development that astonished many across the country until they were eventually replaced. The  Malawi Human Rights Commission (MHRC) launched an investigation into the scandal and found that ruling People’s Party (PP) candidate Raymond Nkhata used the beds as a campaign tool in the Mzimba by-elections h...

Cameroon bans analogue broadcast equipment imports

Cameron has placed a ban on the importation of analogue broadcast equipment; a move designed to move the country’s media to migrate to using only digital equipment for broadcasting. All analogue signals would have been gotten rid of if the plan goes underway as authorities say by 17 June 2015. A decision from Prime Minister Philemeon Yang, signed in mid-November but made public only recently, instituted the ban and laid down conditions for digital broadcasting and transmission in Cameroon, taking effect from June 2015. As from July next year, the sale of analogue equipment such as analogue radio and television receivers will be outlawed all over Cameroon. Public and private audiovisual media using the banned analogue broadcast equipment will have to meet the terms of the law within one year or pay punitive penalties. The digital video broadcasting terrestrial (DVB-T2) will equally be made uniform in Cameroon and digital compression modes in use will now be: H.264...

MWAKYEMBE ADAKA WATANO WAKITAKA KUVUSHA MALORI 26 KINYEMELA BANDARINI

Image
Waziri  wa Uchukuzi Dk. Harisson Mwakyembe akizungumza na waadishi wa habari   Bandarini jijini Dar es salaam leo jioni wakati akitoa taarifa ya   kukamatwa kwa watumishi wa Bandari wanaodaiwa kutaka kutoa  malori 26   kinyemela  bandarini, watu watano wamekamatwa katika sakata hilo. Dk. Harrison Mwakyembe akiongea na maafisa mbalimbali wa Polisi na Bandari   baada ya kukagua magari hayo yaliyotaka kutolewa kinyemela bandarini   hapo. Dk. Mwakyembe akikagua Malori yanayodaiwa  kutaka kutolewa kinyemela na   kampuni ya Dhandho, Malori matano kati ya 26 yalipewa baraka na Mamlaka   ya Mapato Tanzania (TRA) yatolewe. Mmoja  wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) Andrew Masaga (kulia)   anayedaiwa kuhusika kula njama ya kutoa malori hayo  akijitetea mbele ya Waziri (hayupo pichani) katika sakata hilo leo jinoni. Kushoto  ni Mkuu wa Polisi Bandarini...