WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UCHUMI MJINI KIGALI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Makampuni yaliyoshiriki katika  Mkutano wa kimataifa wa Uchumi iliofanyika kwenye Hoteli ya Serena Mjini Kigali na kuhutubiwa na Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Fedha na Uchumi wa Rwanda,  John Rwangombwa (katikati) na  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Dkt Enos Bukuku katika mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Mjini Kigali Novemba 5, 2012. (Picha na Ofi ya Waziri MKuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Wairi Mkuu wa Rwanda, Dr. Habumuremyi Pierre Damien kabla ya mazungumzo yao Mjini Kigali Dec 6,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu,
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kaizungumza na Wziri Mkuu wa Rwanda, Dr. Hebumuremy Pierre Damien kwenye hoteli ya Serena Mjini Kigali Desemba 6, 2012. (Picha naOfisi ya Wziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB