Picha za Show ya Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London


Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo.pia Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe alijumuika pamoja na mashabaki mbalimbali waliofurika katika ukumbi huo kwa kuwapa tafu Vijana wa Yamoto Band.




















Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB