MAHFALI YA 9 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR SUZA
Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum Hamisa Abdulrahim Shaaban,akiwa mwanafunzi bora wa somo la Sayansi na Elimu,iliyotolewa na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Wanawake,Bi Zainab Omar Mohamed,kwa mwaka 2012/13,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]