WASHIRIKI TOP MODEL WAENDELEA KUJIFUA


Jumla washiriki 14 waliwasili kambini tangu ijumaa iliopita katika hoteli ya JB Belmont wako katika mazoezi makali kujinoa na mchuano wa kuwania taji la uanamitindo bora wa mwaka 2013.Wanamitindo hao wako na hali ya mashindano huku mwalimu wa mazoezi ya miondoko ya kimaonyesho akiwa na kazi kubwa ya kuhakikisha kila mwanamitindo anaiva kimazoezi
Washiriki hao wakiwa katika pozi za kimodel wakati wa mazoezi yao.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB