DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACCM TUMBE

1Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Tawi la Tumbe,wilaya ya Wete Pemba,akiwa katika ziara maalum, [ Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_0619Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbe wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano wa chama katika kijiji cha Tumbe,alipokuwa katika ziara maalum katika Wilaya ya Wete Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_0627Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)akisikiliza Risala ya wanachama CCM Tawi la Tumbe  iliyosomwa na Time Juma,

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB