WAZIRI MKUU MHE. PINDA AENDELEA NA ZIARA GUANZHOU- CHINA

IMG_0222Waziri   Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda  akifungua mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China kwenye Hoteli ya  Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nhcini China Oktoba 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0463IMG_0467Baadhi ya washirki wa  mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na China  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda wakati  alipofungua mkutano huo kwenye Hoteli ya  Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nhcini China Oktoba 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0472Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini, Juliet Kairuki  akizungumza katika   mkutano wa Biashara kati ya Tanzani ana China kwenye Hoteli ya  Dong Fang mjini Guangzhou. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiwa katika ziara ya kikazi nhcini China Oktoba 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0541Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na  Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la China la Hainan Airlines  ,BW. Chen Feng   kwenye Hoteli ya  Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nhcini China Oktoba 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0556Waziri  Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akipokea  mfano wa ndege kutoka kwa   Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la China la Hainan Airlines  ,BW. Chen Feng     baada ya  mazungumzo yao kwenye Hoteli ya  Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nhcini China Oktoba 24,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB