RAIS KIKWETE AAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI, NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO NA KATIBU MTENDAJI BODI YA MISHAHARA NA MSLAHI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Daniel Ole Njolaay kuwa balozi jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Daniel Ole Njolaay baada ya kumuapisha kuwa balozi jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Dkt. Bashir Mrindoko baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Raphael Leyani Duluti baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Chakula na Ushirika jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Tamika Mwakahesya kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi jana Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja na walioapishwa jana kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka kshoto ni Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji. toka kulia ni Mhe Daniel Ole Njolaay aliyeapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini nigeria akifuatiwa na Mhe Tamika Mwakahesya aliyeapishwa kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi.