Redd’s Miss Tanzania 2013 Hapiness Watimanywa atembelea TBL


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Robin Goestzche akimpongeza Redd’s Miss Tanzania 2013,Hapiness Watimanywa wakati alipotembelea TBL jijini Dar es Salaam leo ili kutoa Shukrani zake kwa Kampuni hiyo ambayo ndio mdhamini Mkuu wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania.Kushoto ni Mkugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas.
Mkugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas akizungumza jambo na Mrembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013,Hapiness Watimanywa.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Robin Goestzche.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Buttala akijibu moja ya maswali ya waandishi wa habari kwenye tafrija fupi ya kumtambulisha Redd’s Miss Tanzania kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Robin Goestzche.
Redd’s Miss Tanzania 2013,Hapiness Watimanywa katikati akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi mkuu wa TBL,Robin Goestzche na kushoto ni Mkugenzi wa masoko wa TBL,Kushila Thomas katikati yao ni kushoto kwake ni mshindi wa pili shindano la Redd’s Miss Tanzania,Latifa Mohamed na mshindi wa tatu Clara Bayo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB