Nguvu yako ni Mtaji.

Jamaa mmoja ambaye jina lake halikufahamika mapema, akiwa amebeba gunia la vitungu lenye uzito zaidi ya 100Kg za vitunguu linalouzwa kwa Sh. 90,000/= akitoka nje ya lango kuu la kutokea sokoni maarufa kama "Shimoni". ndani ya soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB