WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON

IMG_0054Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na baadhi ya watumishi  wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London baada ya kuwawsili kwenye ubalozi huo kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Wazire Mkuu)
IMG_0077Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Watoto Tanzania nchini Uingereza uliopo London  kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
IMG_0093 (1)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  baadhi ya Watanzania waishio Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013. Kushoto ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0099Baadhi ya Watanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza  nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Londoni Agosti 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0127Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na badhi ya Uingereza  baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti  6,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB