RAIS DKT. KIKWETE NA MAMA SALMA WAMJULIA HALI MH.JOHN MOMOSE CHEYO

8E9U2010Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa  Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo. (Picha Freddy Maro)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AENDESHA KIKAO CHA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR LEO

Zimbabwe's President motorcade in 4th fatal crash