MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURISHA CHAKECHAKE PEMBA

1 (1)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakati wa hafla ya futari ya pamoja aliyoiandaa katika Makazi yake Ikulu ndogo Mjini Pemba jana Agosti 7, 2013. Picha na OMR
2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki futari ya pamoja na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, aliyoiandaa katika Makazi yake Ikulu ndogo Mjini Pemba jana Agosti 7, 2013. Picha na OMR
3 (1)4 Baadhi ya wananchi wa Pemba walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, jana.
56Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni wake baada ya kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa katika makazi yake Ikulu ndogo mjini Pemba, jana Agosti 7, 2013. Picha na OMR

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB