BALOZI WA KENYA NCHINI AMUAGA RAIS DK.SHEIN

IMG_2927Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2939Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,akiwa amemaliza  muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2953Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB