MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL ATEMBELEA CHUO KIPYA CHA TEHAMA CHA VETA KIPAWA JIJINI DAR

VET 2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza na kumtazama Mwanafunzi wa umeme, Elia Michael, alipokuwa akielezea jinsi wanafunzi hao wanavyoweza kuunda Sacket ya umeme inayoweza kuongoza mashine mbalimbali za umeme, wakati Makamu alipotembelea katika Chuo kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam, leo Juni 1, 2013. Picha na OMRVET 4Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza na kumtazama Mwanafunzi wa umeme, Elia Michael, alipokuwa akielezea jinsi wanafunzi hao wanavyoweza kuunda Sacket ya umeme inayoweza kuongoza mashine mbalimbali za umeme, wakati Makamu alipotembelea katika Chuo kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam, leo Juni 1, 2013. Picha na OMRVET5Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbi kumbu mbele ya jengo la Chuo cha VETA, wakati alipotembelea chuo hicho cha Tehama cha VETA Kipawa, leo Juni 1, 2013. Picha na OMRVET8Sehemu ya wanafunzi, walimu wa Chuo hicho waliohudhuria, wakimsikiliza makamu wakati akizungumza
VET9Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza machache baada ya kutembelea na kujionea Teknolojia ya ufundishiaji inayotumiwa na walimu wa Chuo hicho cha VETA Kipawa
VET10Picha ya pamoja na walimu na watumishi wa Chuo hicho.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB