DORIS MOLEL NDIYE REDD'S MISS TABATA 2013


Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata,Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,Upendo Lema (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rachel Mushi.
Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake,Noella Michael (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013.
Kumi Bora.
Warembo wa Tabata wakionyesha shoo yao ya ufunguzi.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB