MAMA SALMA KIKWETE KATIKA KILELE CHA MIAKA 10 YA FAO LA ELIMU LINALOTOLEWA NA PPF


IMG_9901Naibu Waziri wa Fedha Mheshimiwa Saada Kmuya Salum akimkabidhi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete zawadi wakati wa sharehe ya kutimiza miaka 10  ya Fao la elimu litolewalo na Mfuko wa Pensheni wa PPF zilizofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar tarehe 27.4.2013.IMG_9626Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanaofadhiliwa na PPF katika masomo yao wakiwa kwenye sherehe ya kutimiza miaka 10 ya Fao la Elimu litolewalo na shirika hilo kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convetion Centre jijini Dar tarehe 27.4.2013.IMG_9670Binti mcheza sarakasi kutoka katika kikundi cha Safi akionyesha umahili wa michezo mbalimbali kama anavyoonekana kaytika picha hiyo.IMG_9697Baadhi wa wazazi na wanafunzi  waliopata fursa ya huduma ya elimu kutoka katika mfuko wa PPF wakipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi mara baada ya kutoa ushuhuda wao wa jinsi gani mfuko huo umeweza kuwasaidia.
IMG_9704Kundi la muziki wa Taaiab likitumbuiza katika hafla hiyo.IMG_9712Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwatuza waimbaji wa taarabu wakati wa sherehe ya miaka 10 ya Fao la elimu linalotolewa na PPF iliyofanyika Mwalimu Nyerere Convention Centre jijini Dar tarehe 27.4.2013.IMG_9716Naibu Waziri wa Fedha Mheshimiwa Saada Mkuya Salum akimpongeza Bi Asha Mashauzi wakati wa sharehe ya miaka 10 ya Fao la elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF.IMG_9717Wageni waalikwa pamoja na wanafunzi waliOshiriki katika sherehe za kutimiza miaka 10 ya Fao la elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar tarehe 27.4.2017.IMG_9806Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wakati wa kilele cha kutimiza miaka 10 ya Fao la elimu litolewalo na Mfuko wa Pensheni wa PPF katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre hapa Dar tarehe 27.4,2013.IMG_9807Wageni waalikwa pamoja na wanafunzi waliOshiriki katika sherehe za kutimiza miaka 10 ya Fao la elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar tarehe 27.4.2017.
IMG_9859Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, akitoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi waliohitimu kidato cha nne na kupata division 1 na 2 katika masomo yao. Wanafunzi hao walitunukiwa compyuta ya kisasa kila mmoja.IMG_9873Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, akitoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi waliohitimu kidato cha nne na kupata division 1 na 2 katika masomo yao. Wanafunzi hao walitunukiwa compyuta ya kisasa kila mmoja.IMG_9890Baadhi ya wanafunzi  waliopata fursa ya huduma ya elimu kutoka katika mfuko wa PPF wawa na kompyuta zaomara baada ya kuzawadiwa na mgeni rasmi 
IMG_9919Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa mkono mwanafunzi mdogo wa shule ya msingi mara baada ya sherehe ya kutimiza miaka 10 ya Fao la elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF zilizofanyika jijini Dar tarehe 27.4,2013.
IMG_9996Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya udhamini na wanafunzi wanaofadhiliwa katika elimu yao na PPF wakati wa kilele cha kutimiza miaka 10 zilizofanyika Dar tarehe 27.4.2013.
PICHA NA JOHN LUKUWI

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB