DK SHEIN AZINDUA MRADI WA UMEME

IMG_0122
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuzindua mradi wa Njia ya Pili
ya Umeme,kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na
Shirika la Misaada la MCC la Marekani,hafla hiyo ilifanyika jana
katika kituo kikuu cha Umeme Mtoni Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
IMG_0126
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika
la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, kama ishara ya
uzinduzi mradi wa Umeme wa Njia ya Pili ,kutoka Ubungo  Dar es Salaam
mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la
Marekani,hafla hiyo ilifanyika jana katika kituo kikuu cha Umeme Mtoni
Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
IMG_0144
Hiki ni Kituo kikuu cha Umeme cha Mtoni Unguja.ambacho
tayari Mradi wake uliofadhiliwa na MCC Marekani umezinduliwa na Rais
wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,kwa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ‘Millennium
Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, pia Balozi wa Marekani Nchini
Tanzania ALfonso Lenhardt, alihudhuria katika uzinduzi
huo,utakaochukua Ukubwa wa Kilowati 100,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_0170
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la
‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo,(katikati) na Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania ALfonso Lenhardt,wakipata maelezo ya
kiutendaji kazi katika kituo kikuu cha umeme kutoka Ubungo Dar es
Salaam mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la
Marekani,kwa Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali,(kushoto)
baada ya ufunguzi rasmi jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB