AIRTEL NA NOKIA WAZINDUA OFA KABAMBE YA NOKIA LUMIA 620



Picture 2
Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea wakati wa uzinduzi wa  simu Nokia Lumia 620 , ushirikiano kati ya Airtel na Nokia utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya Nokia Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa Maongezi  wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa mienzi mitatu

Picture 3                   Meneja Biashara wa Nokia Nchini Tanzania Samson Majwala( kushoto) akimkabidhi simu ya Nokia Lumia 620 Jimy Tara mwandishi wa habari wa ITV kwenye bahati nasibu wakati wa uzinduzi wa  Simu hiyo kwa ushirikiano kati ya Airtel na Nokia  utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya Nokia Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa Maongezi  wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa mienzi mitatu. Wakishuhudia ni Afisa Uhusiano Jane Matinde akifatana na menjeja masoko wa Airtel Edwin Byampanju.

Picture 4                 Meneja Biashara wa Nokia Nchini Tanzania Samson Majwala, Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde na menjeja masoko wa Airtel Edwin Byampanju kwa pamoja wakionyesha simu za rangi tofauti za Nokia Lumia 620 wakati wa wakati wa uzinduzi wa  Nokia Lumia 620 kwa ushirikiano kati ya Airtel na Nokia  utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya Nokia Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa Maongezi  wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa mienzi mitatu.

Picture 5                     Meneja Biashara wa Nokia Nchini Tanzania Samson Majwala, Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde na menjeja masoko wa Airtel Edwin Byampanju kwa pamoja wakionyesha kipeperushi cha Nokia Lumia 620 wakati wa wakati wa uzinduzi wa  Nokia Lumia 620 kwa ushirikiano kati ya Airtel na Nokia  utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya Nokia Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa Maongezi  wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa muda wa mienzi mitatu.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB