ZIARA YA KINANA CHINA

1. KINANA AKIMTAMBULISHA SENGELEMAKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).2. KINANA AKIZUNGUMZA NA HUANG XIANYAOKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).3. KINANA AKIBADILISHANA MAWAZO NA KINA XIANYAOKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akibadilishana mawazo na   Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).4. KINANA AMPA KINYAGO XIANYAOKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya kinyango cha Kimakonde,  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao,  Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).5. UAI AKITOSI NA XIANYAOVNaibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ‘akitosi’ kinywaji kwenye kijiglasi maalum cha kinywaji, na  Katibu wa Kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).6. MIGIRO AKIMSALIMIA XIANYAOKatibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM, Dk.Asha-Rose Migiro akimshukuru  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).7. SHIGELA AKIZUNGUMZA NA XIANYAOKatibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela akibadilishana mawazo na  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).8. KHADIJA ABOUD AKISALIMIANA NA XINYAOMjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Khadija Aboud akisalimiana na  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao,  Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).9. KHAMIS SULEIMAN DADI AKISALIMIANA NA XINYAOKatibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi akisalimiana na  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB