WAZIRI MKUU AHAMASISHA UFUGAJI NYUKI


IMG_0391Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mizenga  baada ya kutundika mizinga miwili ya nyuki  katika kijiji cha Agondi wilayani Manyoni ili kuhamasisha ugaji wa nyuki na usindikaji wa asali nchini Machi 4,2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Vincent Ole Kone. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0380
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitundika mzinga wa nyuki ili kuhamasisha ufugaji nyuki na usindikaji wa asali nchini, wakati alipokwenda kwemye kijiji cha Agondi wilayani Manyoni, Machi 4, 2013. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB