WAKAZI WA ARUSHA WAPOKEA KWA FURAHA UJIO WA TUSKER LITE

4. anitaMeneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na yenye wanga kidogo sana katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.1. wadauWadau wa bia ya Tusker Lite na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakionyesha furaha na kuipokea bia ya Tusker Lite a kugonganisha chupa kwjijini Arusha katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.10. nakaaya na mcNakaaya Sumari akifurahia jambo na MC katika hafla hiyo.13. mama akifurahia zawadiMama akifurahia zawadi ya glass za Tusker Lite baada ya kuibuka mshindi wa kucheza muziki katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.11. jcbJCB akitoa shukrani zake kwa Kampuni ya bia ya Serengeti kwa kuleta bia nzuri ya Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.14. nyaki akicheza na mamaMama akishindana na nyaki kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.9. mkolonip0[pMmoja wa wageni waalikwa ambaye mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya jijini Arusha anayejulikana kwa jina la ”Mkoloni” akitoa neno lake kuonyesha hisia kuhusu ujio wa bia ya Tusker Lite, kushoto na JBC,na kulia mwisho ni Nakaaya Sumari katika katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.15. wadau na wafanyakazi wa serengeti kiwanda cha moshiBaadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti wakishindana kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia ya Tusker Lite uliofanyika ka katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB