MH Edward Lowassa Atoa Pole Msiba wa Benson Mollel Jijini Arusha



 Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli-CCM Mh Edward  Lowassa akitoa pole kwa mama mzazi wa Mollel nyumbani kwao Daraja Mbili Arusha
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa ametoa pole nyumbani kwa mjumbe wa baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Benson Mollel aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha jana hotelini jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa(katikati) akiwa na mwenyekiti wa CCM Monduli(kulia) Ruben Kunei na mjumbe wa halmashauri kuu taifa NEC (kushoto) Mathias Manga

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB