LADY JAYDEE AZINDUA VIDEO YA “JOTO HASIRA” NYUMBANI LOUNGE
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Lady JayDee akiimba kwa kushirikiana na waimbaji wa bendi ya Machozi bendi anayoimiliki mwenyewe wakati wa onesho hilo.
Jaydee akiwa kando ya gari lake mara baada ya kuwasili Nyumbani Lounge tayari kwaajili ya uzinduzi wa Video yake mpya ya Joto Hasira.
Mashabiki wa mwanamuziki huyo wakicheza stejini huku wakiwa wamepanga mstari Dida Wa Mchops akiongoza mashabiki wa mwanamuziki Lady JayDee wakati wakicheza stejiniMbunifu wa Mavazi Asia Idarous akipozi kwa picha na Mdau Bhoke wakati wa onesho hilo.Mboni Masimba katikati akiwa katika picha ya pamoja na Juma Pinto na Mdau Fred MaedaMamaa Shamimu wa 8020fashionblog akiwajibika kwa kupata taswira za onesho hilo.Mdau Bhoke akipozi kwa pichaMdau Jane na mdogo wake nao walijitokeza katika uzinduzi huo wa video ya Joto Hasira.kutoka kulia ni Monica na kutoka kushoto ni Mboni Masimba na Shamimu MwashaJuma Pinto kulia na wadau mbalimbali wakishoo Love kwa picha
‘Chopa’ iliyotumiwa na Lema ikitua viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro muda mfupi kabla ya kuanza mkutano. Chopa hiyo ilizunguka anga la Jiji la Arusha kwa madoido ya aina yake, hususani katika Kata nne za Themi, Kimandolu, Elerai na Kaloleni, halikadhalika eneo la mkutano, huku ikimwaga vipeperushi vya kunadi kampeni za Chadema na wagombea wake. Blog hii ilishuhudia wananchi wakigombea vipeperushi hivyo vikitua chini. Sehemu ya umati wa wananchi wa Jijini Arusha waliojitokeza jana katika viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro kuhudhuria Mkutano Mkubwa wa Chadema wa Uzinduzi wa Kampeni za kuwania Udiwani kwa Kata nne zilizoachwa wazi na madiwani waliovuliwa uanchama na Chadema zaidi ya miaka miwili iliyopita. Mbunge wa Arusha Mjini na Mjumbe wa kamati Kuu Chadema, Mh Godbless Lema akihutubia umati wa wananchi waliojitokeza katika uzinduzi huo. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya, ambae pia ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Arusha na Diwani wa Kata ya Levolosi, Mh Ephata Nanyaro...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam. Mkurugenzi w...