RAIS KIKWETE KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA POLISI




Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema muda mfupi baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma juzi jioni.

4Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka kwa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni, mjini Dodoma. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
5  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
6Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IJP Saidi Mwema juzi katika  viwanja vya Bunge mjini Dodoma baada ya kufanya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
1Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni. Kauli mbiu ni ”Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
2Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe, Dk. Emmanuel Nchimbi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
3Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa juzi jioni mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti” Nyuma yake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi  la Polisi ulifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma juzi jioni.


Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB