PINDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA WFP NA UJUMBE WABUNGE WA UJERUANI


IMG_0011 1 copyWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi  Mtendaji  wa Mpango wa Chakula  Duniani (WFP), Bibi Ertharin Cousin Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_2109Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani walipomtembelea, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 13, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_2125Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Februari 13, 2012.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi. (PIcha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB