MHESHIMIWA RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC DODOMA LEO



 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Meghji, kabla ya kuanza kikao hicho leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisahuriana jambo ukumbini na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Zakia Meghji na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, kabla ya kikao kuanza leo
 Mjumbe wa NEC, Mama Salma Kikwete akimsalimia Katibu wa NEC Siasa ana Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro kabla ya kikao kuanza ukumbini. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
 Hali ndani ya ukumbi ilikuwa kama hivi kabla ya kikao kuanza. Kushoto Kabisa ni Nape na Zakia Meghji na juu-kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimia wajumbe. Na Kulia chini ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhamed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiteta jambo
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai kabla ya kikao kuanza 
 Wajumbe wa NEC  Profesa Anna Tibaijuka na Mzee Mtandika wakibadilishana mawazo ukumbini
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro akichati jambona Mjumbe wa NEC, Samwel Sitta na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kikao
 Nape (kulia) akichangia kwenye mazungumzo hayo kati yake na Dk. Asha-Rose na Sitta
 Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, ambaye sasa ni Mjumbe wa NEC, William Mukama akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake wa NEC Profesa Juma Kapuya ukumbini. picha zaidi BOFYA NKOROMO DAILY

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB