LOWASA, SUMAYE WAMFARIJI MKURUGENZI CRDB DK KIMEI KUFUATIA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI


 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwapa pole Dr Kimei(katikati) na dada yake.
Pichani ni Mawaziri wakuu wastaafu Mh Edward Lowassa na Mh Fredrick Sumaye wakijumuika na viongozi wengine katika msiba wa mama yake mkurugenzi mtendaji mkuu wa CRDB, Dr.Charles Kimei mwishoni mwa wiki huko Komakundi Marangu Mkoani Kilimanjaro.

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI