DK.SHEIN AAGANA NA BALOZI WA UMOJA WA FALME ZA KIARABU


IMG_0048Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir,alipofikaIkulu Mjini Zanzibar kwa ajili  ya kumuaga  Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
IMG_0050 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme
za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar kwa ajili  ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake
wa kazi nchini.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.] 

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI