RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA DHIFA YA PAMOJA NA VIJANA WA HALAIKI ZANZIBAR


DSC05814Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipata Chakula katika Dhifa maalum alioiandaa kwa ajili ya kuwapongeza na kula chakula pamoja nao Vijana wa Halaiki na walimu wao waliofanikisha katika Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
DSC05820Vijana wa Halaiki wakipata Dhifa Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Kuwapongeza kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
DSC05826Vijana wa Halaiki wakipata Dhifa Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Kuwapongeza kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
DSC05831Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akitoa hotuba ya Shukurani kwa niaba ya Rais kwa Vijana wa Halaiki pamoja na Walimu wao kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar
DSC05845Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu mbalimbali pamoja na Viongozi wa Vijana wa Halaiki waliohudhuria katika Dhifa ya Pamoja ilioandaliwa hapo Bwawani Hotel Zanzibar
DSC05850Viongozi wa Halaiki waliohudhuria katika dhifa ya pamoja na Rais wa Zanzibar ilioandaliwa hapo Bwawani Hotel Zanzibar.
 PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI-MAELEZO ZANZIBAR.

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI