RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI, ANDREW CHENGE WATOA MAONI YA KATIBA MPYA KWA TUME


1 - CopyMwanasheria Mkuu wa Serikali yaMapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika  jumamosi januari 26, 2013) katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake  kuhusu KatibaMpya kwaTume. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba.
3. - CopyMwanasheria Mkuu wa zamani waSerikali, Mhe. Andrew Chenge akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika jumamosi januari 26, 2013 katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.
5. - CopyRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wajumbe waTumeya Mabadiliko ya Katiba walioongozwa na Mwenyekitiwa Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (jumamosi januari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

7..Raismstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu  (jumamosi januari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
8..Raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha na mawazo na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu mstaafu, AugustinoRamadhani (kulia).

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI