RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA APRM NA AU JIJINI ADDIS ABABA


8Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete akihutubia  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
7Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete akihutubia  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
9Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete  na ujumbwe wake akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhutubua  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
10Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia, akiwa na viongozi wenzake katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa leo Januari 27, 2013
PICHA NA IKULU

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI