RAIS KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UFARANSA


p21Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p8Watanzania wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013 
p14Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p22Watanzania wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p24Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p25Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk  akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p27Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Profesa Sospeter Muhongo akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p28Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013
p35Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo January 21, 2013  PICHA NA IKULU

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI