DK. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM HAPA NCHINI


              Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na Balozi wa Vietnam hapa nchini, Nguyen Duy Thien, baada ya kumkaribisha kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
           Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na Balozi wa Vietnam hapa nchini, Nguyen Duy Thien, baada ya kumkaribisha kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martin Shigela
               Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kushoto) akizungumza na Balozi wa Vietnam hapa nchini  Nguyen Duy Thien, katika Ofisini Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 23, 2013.  Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela ambaye alijumuka katika mazungumzo hayo. Wengine ni Maofisa wa Makao Makuu ya CCM.


               Katibu wa NEC, akimshukuru Balozi huyo
            Balozi huyo Thien akimuaga Dk. Asha-Rose Migiro akiwa tayari kuondoka kurejea ofini kwake baada  ya mazungumzo yao. Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Martine Shigela (Picha zote na Bashir Nkoromo- Daily Nkoromo Blog)

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI