SHEREHE YA MIAKA 7 YA THT NDANI YA DAR LIVE
Shilole na kundi lake wakilishambulia jukwaa la Dar Live.
Vijana wa THT wakiwasha moto wakati wa sherehe yao ya kutimiza miaka 7 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia jana.
Msanii Ben Pol akiwajibika stejini.
Shilole akimdatisha shabiki aliyepanda stejini.
Shetta akiwapa raha mashabiki.
Dogo Aslay akiwadatisha mashabiki.
Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Dancer wa THT akionyesha machejo jukwaani.
Mzee Yusuf na vijana wake wakipagawisha stejini.
DJ Bulla kutoka Clouds FM akifanya vitu vyake.
Queen Darleen akiwarusha mashabiki.
Msanii Godzilla akiwapa raha mashabiki wake.
Dogo Aslay na Bi. Cheka wakikamua.
Diva Loveness wa Clouds FM akiwasabahi mashabiki.
…Burudani zikiwa zimepamba moto.
Rachel akiwapagawisha mashabiki wake.
Juma Mataluma akifanya mambo.
Ben Pol akicheza na mashabiki wake.
Msanii Ditto akiwapa tano mashabiki.
Linah akiwa stejini.