Nusra Maguluko, Mwanamke Anayeendesha Basi La Abiria




 Dereva Mwanamke wa Basi la la Shabiby, Nusra Maguluko, akizungumza wakati alipoalikwa mbele ya viongozi kutoa ushuhuda kuhusiana na kazi yake ya Udereva wa magari makubwa kama Mwanamke, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Kampuni ya usafirishaji ya DHL, iliyofanyika siku za hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Nusra alialikwa katika hafla hiyo baada ya kuwa ni mmoja kati ya wanawake waliopata tuzo za Usafirishaji kutoka kampuni hiyo ya DHL.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bila, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkurugenzi wa DHL na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman, wakiwa katika picha ya pamoja na Nusra Maguluko, wakati wa hafla ya uzinduzi wa jingo la DHL, hivi karibuni.

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI