Kilimanjaro Stars yaifunga Rwanda 2 - 0

TANZANIA Bara imefanikiwa kuwa timu ya kwanza kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Challenge Cup baada ya kuilaza Rwanda mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Lugogo.







Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA GYKRUM,ARUSHA