RAIS AWASILI ARUSHA, VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA NA KUMUOMBEA MAFANIKIO ZAIDI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha
Dua za kumuombea Rais Jakaya Kikwete zikiendelea
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili mkoani Arusha jioni ya leo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB