PINDA AZINDUA TAASISI YA WAARABU TANZANIA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe wakati alipozindua Taasisi ya Waarabu Tanzania kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Novemba 18,2012. Kushoto Ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mecky Sadic.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza a Shekh Noordin Kishk (katikati) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Waarabu tanzania , Said Said Mohamed (kulia) baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Novemba 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waarabu Tanzania, Mohamed Suqry baada ya kuzindua Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Sheikh Noordin Kishk baada ya kuzindua Taasisi ya Waarabu Tanzania kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es alaam Novemba 18,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).