KINANA,NAPE,KHATIB WATUA MTWARA, WANANACHI WAWAPOKEA KWA SHANGWE



Viongozi wa Juu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu, Abdulrahaman Kinana, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Mnauye na Katibu wa Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatib wamewasilili mkoani Mtwara leo kwa ziara maalum ya kuimarisha chama hicho. Pichani kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara,  Mohamed Sinani akiwapokea viongozi hao katika Uwanja wa ndege wa Mtwara.

Maandamano ya pikipiki ya wanachama na wafuasi wa CCM Mkoani mtwara yakiongoza msafara wa Viongozi hao kuelekea Ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB